Mathayo 27:65 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192165 Pilato akawaambia, Mna askari: enendeni kalilindeni sana kadiri mjuavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema65 Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND65 Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza65 Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu65 Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadiri mnavyoweza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu65 Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadri mwezavyo.” Tazama sura |