Mathayo 27:62 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192162 Hatta siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema62 Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND62 Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza62 Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu62 Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalizi ya Sabato, viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakamwendea Pilato Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu62 Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalizi ya Sabato, viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakamwendea Pilato Tazama sura |