Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Makuhani wakuu wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Ni haramu kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, “Haifai kuziweka katika hazina ya hekalu kwa maana ni fedha za damu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, “Haifai kuziweka katika hazina ya hekalu kwa maana ni fedha za damu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, “Haifai kuziweka katika hazina ya hekalu kwa maana ni fedha za damu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Wale viongozi wa makuhani wakazichukua zile fedha wakasema, “Si halali kuchanganya fedha hizi na sadaka kwa sababu hizi ni fedha zenye damu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Wale viongozi wa makuhani wakazichukua zile fedha wakasema, “Si halali kuchanganya fedha hizi na sadaka kwa sababu hizi ni fedha zenye damu.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:6
8 Marejeleo ya Msalaba  

Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.

Akavitupa vile vipande vya fedha katika patakatifu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.

Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyangi liwe mahali pa kuzikia wageni.

Bali ninyi hunena, Mtu akimwambia baba yake au mama yake, Ni Korban (yaani kimewekwa wakfu) kitu changu cho chote kikupasacho kufaidiwa nacho:

Bassi wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa hatta Praitorio; ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya Praitorio, wasije wakatiwa najis, bali waile Pasaka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo