Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

59 Yusuf akautwaa mwili, akauzinga katika kitambaa cha kitani safi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

59 Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

59 Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

59 Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

59 Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga kwa kitambaa cha kitani safi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

59 Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi,

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:59
5 Marejeleo ya Msalaba  

mtu huyu alimwendea Pilato, akauomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe mwili wake.


akanweka katika kaburi lake jipya, alilolikata mwambani; akafingirisha jiwe kubwa hatta mlango wa kaburi, akaenda zake.


Akanunua saanda, akamshusha, akamfungia ile saanda, akamweka katika kaburi lililochongwa mwambani: akafingirisha jiwe mbele ya mlango wa kaburi.


Akaushusha, akauzinga nguo za katani, akauweka katika kaburi lililochongwa mwambani; hajawekwa mtu aliye yote ndani yake kamwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo