Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:58 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

58 mtu huyu alimwendea Pilato, akauomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe mwili wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

58 Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

58 Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

58 Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

58 Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Isa. Pilato akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

58 Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Isa. Pilato akaamuru apewe.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:58
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusuf, nae mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu;

Yusuf akautwaa mwili, akauzinga katika kitambaa cha kitani safi,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo