Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

56 Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yose, na mama yao wana wa Zebedayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Miongoni mwao walikuwemo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:56
13 Marejeleo ya Msalaba  

Huyu si mwana wa sermala? mama yake sio yeye aitwae Mariamu? Na ndugu zake Yakobo, na Yose, na Simon, na Yuda?


Walikuwako hapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi.


SABATO ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, akaenda Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, kulitazama kaburi.


Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yose wakapatazama alipowekwa.


Alipofufuka Yesu assubuhi siku ya kwanza ya sabato alimtokea kwanza Mariamu Magdalene, ambae kwamba alimtoa pepo saba.


Na hao waliowaambia mitume mambo haya ni Mariamu Magdalene, na Yoanna, na Mariamu mama yake Yakobo na wengine waliokuwa pamoja nao.


na wanawake kadha wa kadha waliokuwa wameponywa pepo wabaya na magonjwa, Mariamu aliyeitwa Magdalene, aliyetokwa na pepo saba,


Na penye msalaba wake Yesu wamesimama mama yake, na ndugu ya mama yake, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene.


HATTA siku ya kwanza ya sabato Mariamu Magdalene akaenda kaburini alfajiri, kungali giza bado, akaliona jiwe limeondolewa kaburini.


Mariamu Magdalene akaenda akawapasha wanafunzi khabari ya kwamba amemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia haya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo