Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

53 nao wakiisha kutoka makaburini, baada ya kufufuka kwake, wakaingia mji mtakatifu, wakawatokea wengi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

53 nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

53 nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

53 nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka makaburini, wakaingia katika mji mtakatifu, wakaonekana na watu wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

53 Wakatoka makaburini, na baada ya Isa kufufuka, waliingia kwenye Mji Mtakatifu na kuwatokea watu wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

53 Wakatoka makaburini, na baada ya Isa kufufuka, waliingia kwenye Mji Mtakatifu na kuwatokea watu wengi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:53
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Shetani akamchukua hatta mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu, akamwambia,

Na behewa iliyo nje ya hekalu uitupe nje wala usiipime, kwa maana mataifa wamepewa hiyo, nao wataukanyaga mji mtakatifu miezi arubaini na miwili.

Nami Yohana nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemi mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.

Na mtu aliye yote akiondoa baadhi ya maaeno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika kile kitabu cha uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao khabari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo