Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Nae Yesu akiisha kupaaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Basi, Yesu akalia tena kwa sauti kubwa, akakata roho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Basi, Yesu akalia tena kwa sauti kubwa, akakata roho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Basi, Yesu akalia tena kwa sauti kubwa, akakata roho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Isa alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Isa alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:50
14 Marejeleo ya Msalaba  

kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kukhudumiwa, bali kukhudumu, na kutoa roho yake kuwa dia ya wengi.


Wale wengine walinena, Acha; na tuone kwamba Elia anakuja kumponya.


Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.


Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu: na alipokwisha kusema haya akatoa roho.


Mimi ndimi niliye mchunga aliye mwema: mchunga aliye mwema huweka maisha yake kwa ajili ya kondoo.


kama vile Baba anijuavyo, na mimi nimjuavyo Baba: na uzima wangu nauweka kwa ajili ya kondoo.


Kikawako chombo kimejaa siki; bassi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya husopo, wakampelekea kinywani.


Bassi Yesu alipoipokea siki, akasema, Imekwisha: akainama kichwa, akatoa roho.


Bassi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye nae vivyo hivyo alishiriki yayo bayo, illi kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani Shetani,


Yeye siku hizo za niwili wake alimtolea yeye awezae kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa sababu ya kicho chake;


bassi si zaidi damu yake Kristo, ambae kwamba kwa Roho ya milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo mawaa, itawasafisheni dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hayi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo