Mathayo 27:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Akavitupa vile vipande vya fedha katika patakatifu, akaondoka; akaenda, akajinyonga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Naye akazitupa zile fedha hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Naye akazitupa zile fedha hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Naye akazitupa zile fedha hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Basi Yuda akavitupa vile vipande vya fedha ndani ya Hekalu akaondoka akaenda kujinyonga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Basi Yuda akavitupa vile vipande vya fedha ndani ya Hekalu akaondoka akaenda kujinyonga. Tazama sura |