Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

49 Wale wengine walinena, Acha; na tuone kwamba Elia anakuja kumponya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:49
4 Marejeleo ya Msalaba  

Marra mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya unyasi, akamnywesha.

Nae Yesu akiisha kupaaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo