Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

48 Marra mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya unyasi, akamnywesha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Isa ili anywe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Isa ili anywe.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:48
7 Marejeleo ya Msalaba  

wakampa kunywa siki iliyochanganyika na safura; nae alipoonja hakutaka kunywa.

Baadhi yao waliosimama huko, waliposikia, wakanena, Huyu anamwita Elia.

Wale wengine walinena, Acha; na tuone kwamba Elia anakuja kumponya.

Mtu akapiga mbio, akajaza sifongo siki, akaitia jim ya unyasi, akamnywesha, akisema, Acheni; na tuone kwamba Eliya anakuja kumshusha.

Askari wakamdhihaki, wakimjia, wakimpa siki, na kusema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo