Mathayo 27:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192147 Baadhi yao waliosimama huko, waliposikia, wakanena, Huyu anamwita Elia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.” Tazama sura |