Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Tangu saa sita palikuwa giza juu ya inchi yote hatta saa tissa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, giza likaikumba nchi yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, giza likaikumba nchi yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, giza likaikumba nchi yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:45
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa saa tatu wakamsulibi.


Ilikuwa Maandalio ya Pasaka: ilikuwa panapo saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, mfalme wenu!


BASSI Petro na Yohana walikuwa wakipanda pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tissa.


Malaika wa nne akapiga baragumu, thuluth ya jua ikapigwa, na thuluth ya mwezi, na thuluth ya nyota, illi ile thuluth itiwe giza, mchana usiangaze thuluth yake wala usiku vivyo hivyo.


Akalifungua shimo la abuso; moshi ukapanda kutoka lile shimo kama moshi wa tanuru kubwa: juu na anga vikatiwa giza kwa sababu ya ule moshi wa shimo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo