Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Vilevile wa ayangʼanyi nao waliosulibiwa pamoja nae walimshutumu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:44
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wanyangʼanyi wawili wakasulibiwa pamoja nae, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.


Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,


Kwa maana Kristo nae hakujipendeza nafsi yake; bali kama ilivyoandikwa, Malaumu yao waliokulaumu yalinipata mimi.


Lakini mtu wa kwemi akipungukiwa hekima, aombe dua kwa Mungu, awapae wote kwa ukarimu, wala hakemei; nae atapewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo