Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Amemtegemea Mungu; na amwokoe sasa, kamii akimtaka; kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Alimtumainia Mungu na kusema ati yeye ni Mwana wa Mungu; basi, Mungu na amwokoe kama anamtaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Alimtumainia Mungu na kusema ati yeye ni Mwana wa Mungu; basi, Mungu na amwokoe kama anamtaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Alimtumainia Mungu na kusema ati yeye ni Mwana wa Mungu; basi, Mungu na amwokoe kama anamtaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Anamwamini Mungu, basi Mungu na amwokoe sasa kama anamtaka, kwa maana alisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Anamwamini Mungu, basi Mungu na amwokoe sasa kama anamtaka, kwa maana alisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu.’ ”

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:43
17 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Ewe ulivunjae hekalu na kuijenga kwa siku tatu, jiponye nafsi yako; ukiwa Mwana wa Mungu, shuka msalahani.

Bassi yule akida, nao walio pamoja nae wakimwangalia Yesu, walipoliona tetemeko la inchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakinena, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.

Watu wakasimama, wakitazama. Nao wakuu wakamfanyizia mzaha, wakisema, Aliokoa wengine; na ajiokoe nafsi yake, kama huyu ndiye Kristo wa Mungu, mtenle wake.

Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, njiokoe nafsi yako.

Mimi na Baba yangu tu nmoja.

je! yeye ambae Baba alimtakasa akamtuma ulimwenguni, ninyi mwamwambia, Unakufuru, kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?

Wayahudi wakamjibu, Sisi tuna sharia, na kwa sharia hiyo amepasiwa kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo