Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Aliponya watu wengine, hawezi kujiponya nafsi yake. Akiwa mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani, naswi tutamwamini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 “Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! Ati yeye ni mfalme wa Wayahudi! Basi, sasa na ashuke msalabani, nasi tutamwamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 “Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! Ati yeye ni mfalme wa Wayahudi! Basi, sasa na ashuke msalabani, nasi tutamwamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 “Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe hawezi! Ati yeye ni mfalme wa Wayahudi! Basi, sasa na ashuke msalabani, nasi tutamwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 “Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe! Yeye ni mfalme wa Israeli! Ashuke sasa msalabani, nasi tutamwamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 “Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe! Yeye ni Mfalme wa Israeli! Ashuke sasa kutoka msalabani, nasi tutamwamini.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:42
14 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyola yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudu.


Wakaweka juu ya kichwa chake mshitaka wake, ulioandikwa, HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.


wakinena, Ewe ulivunjae hekalu na kuijenga kwa siku tatu, jiponye nafsi yako; ukiwa Mwana wa Mungu, shuka msalahani.


Kadhalika ua wale makuhani wakuu wakimdhihaki pamoja na waandishi na wazee, wakinena,


Kadhalika na makuhani wakuu wakamdhihaki wao kwa wao, pamoja na waandishi, wakisema, Aliwaponya wengine; hawezi kujiponya nafsi yake.


Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,


wakinena Amebarikiwa mfalme ajae kwa jina la Bwana, amani mbinguni, na utukufu palipo juu.


Watu wakasimama, wakitazama. Nao wakuu wakamfanyizia mzaha, wakisema, Aliokoa wengine; na ajiokoe nafsi yake, kama huyu ndiye Kristo wa Mungu, mtenle wake.


Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, njiokoe nafsi yako.


Nathanaeli akajibu, akamwambia, Rabbi, wewe u Mwana wa Mungu, ndiwe mfalme wa Israeli.


wakatwaa matawi ya mitende wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana; Amebarikiwa ajiie kwa jina la Bwana, mfalme wa Israeli.


Na mtu akisikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja niuhukumu ulimwengu, bali niuokoe ulimwengu.


Bassi marra ya pili wakamwita yule mtu aliyekuwa kipofu wakamwambia, Mpe Mungu utukufu. Sisi tunajua ya kuwa mtu huyu ni mwenye dhambi.


Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo