Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Kadhalika ua wale makuhani wakuu wakimdhihaki pamoja na waandishi na wazee, wakinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na waalimu wa sheria na wazee walimdhihaki wakisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na waalimu wa sheria na wazee walimdhihaki wakisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na waalimu wa sheria na wazee walimdhihaki wakisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani, walimu wa Torati pamoja na wazee wakamdhihaki, wakisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani, walimu wa Torati pamoja na wazee wakamdhihaki wakisema,

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:41
12 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Ewe ulivunjae hekalu na kuijenga kwa siku tatu, jiponye nafsi yako; ukiwa Mwana wa Mungu, shuka msalahani.


Aliponya watu wengine, hawezi kujiponya nafsi yake. Akiwa mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani, naswi tutamwamini.


Kwa maana atatiwa katika mikono ya Mataifa, atafanyiwa dhihaka na kutendwa jeuri, na kutemewa mate;


Yesu akawaambia waliomjia, makuhani wakuu, na majemadari wa hekalu, na wazee, Kama juu ya mnyanyangʼanyi mmetoka kwa panga na marungu?


Watu wakasimama, wakitazama. Nao wakuu wakamfanyizia mzaha, wakisema, Aliokoa wengine; na ajiokoe nafsi yake, kama huyu ndiye Kristo wa Mungu, mtenle wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo