Mathayo 27:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 Ndipo wanyangʼanyi wawili wakasulibiwa pamoja nae, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Wanyanganyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Wanyanganyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Wanyang'anyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Wanyang’anyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Wanyang’anyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. Tazama sura |