Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Wakaweka juu ya kichwa chake mshitaka wake, ulioandikwa, HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Isa Mfalme wa Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: huyu ni isa, mfalme wa wayahudi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:37
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wanyangʼanyi wawili wakasulibiwa pamoja nae, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.


Aliponya watu wengine, hawezi kujiponya nafsi yake. Akiwa mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani, naswi tutamwamini.


Anwani ya mshitaka wake iliandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDU.


Palikuwa na anwani juu yake kwa harufi za kiyunani na kirumi na kiebrania, HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo