Mathayo 27:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 Walipokwisha kumsulibi, wakagawa nguo zake, wakipiga kura: illi litimie neno lililonenwa na nabii. Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Walipokwisha kumsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. [Hili lilifanyika ili litimie neno lililonenwa na nabii, “Waligawa nguo zangu miongoni mwao na vazi langu wakalipigia kura.”] Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Walipokwisha kumsulubisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. [Hili lilifanyika ili litimie lile neno lililonenwa na nabii, “Waligawa nguo zangu miongoni mwao na vazi langu wakalipigia kura.”] Tazama sura |