Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 wakampa kunywa siki iliyochanganyika na safura; nae alipoonja hakutaka kunywa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:34
6 Marejeleo ya Msalaba  

Marra mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya unyasi, akamnywesha.

Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane anywe, nae hakupokea.

Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo