Mathayo 27:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192131 Walipokwisha kumfanyia dhihaka, wakalivua lile vazi, wakamvika nguo zake, wakamchukua kumsulibi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe. Tazama sura |