Mathayo 27:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Wakamtemea mate, wakautwaa ule unyasi, wakampiga kichwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Wakamtemea mate, wakauchukua ule mwanzi, wakampiga nao kichwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Wakamtemea mate, wakauchukua ule mwanzi, wakampiga nao kichwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Wakamtemea mate, wakauchukua ule mwanzi, wakampiga nao kichwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Wakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Wakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena. Tazama sura |