Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Ndipo askari wa liwali wakamchukua Yesu ndani ya praitorio, wakamkusanyia kikosi kizima.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Kisha askari wa mkuu wa mkoa wakamwingiza Yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia kikosi kizima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Kisha askari wa mkuu wa mkoa wakamwingiza Yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia kikosi kizima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Kisha askari wa mkuu wa mkoa wakamwingiza Yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia kikosi kizima.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kisha askari wa mtawala wakampeleka Isa kwenye Praitorio, na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kisha askari wa mtawala wakampeleka Isa kwenye Praitorio na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo makubani wakuu, na waandishi, na wazee wa watu wakakusanyika katika behewa ya kuhani mkuu aliyeitwa Kayafa;


Bassi wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa hatta Praitorio; ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya Praitorio, wasije wakatiwa najis, bali waile Pasaka.


Bassi Yuda akiisha kupokea kikosi cha askari, na watumishi waliotoka kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, akaenda huko na makandili na taa za mkono na silaha.


Bassi Pilato akaingia Praitorio tena, akamwita Yesu, akamwambia, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?


PALIKUWA na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitaliano,


Nitakusikia maneno yako watakapokuja wale waliokushitaki; akaamuru alindwe katika praitorio ya Herode.


BASSI ilipoamriwa tusafiri hatta Italia, wakamtia Paolo na wafungwa wengine katika mikono ya akida mmoja, jina lake Yulio, wa kikosi cha Augusto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo