Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Ndipo akawafungulia Barabba: na alipokwisha kumpiga Yesu mijeledi, akamtoa apate kusulibiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Hapo Pilato akawafungulia Baraba kutoka gerezani, na baada ya kumpiga Yesu mijeledi, akamtoa asulubiwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Hapo Pilato akawafungulia Baraba kutoka gerezani, na baada ya kumpiga Yesu mijeledi, akamtoa asulubiwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Hapo Pilato akawafungulia Baraba kutoka gerezani, na baada ya kumpiga Yesu mijeledi, akamtoa asulubiwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Isa apigwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Isa achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:26
11 Marejeleo ya Msalaba  

na watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulibi; na siku ya tatu atafufuka.


na watamhukumu afe, watamtia mikononi mwa mataifa, nao watamdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumtemea mate, na kumwua: na siku ya tatu atafufuka.


Pilato akapenda kuwafanyia radhi makutano, akawafungulia Barabba: akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, asulibiwe.


Bassi nikiisha kumrudi, nitamfungua.


BASSI ndipo Pilato akamtwaa Yesu, akampiga mijeledi.


Bassi ndipo akamtia mikononi mwao asulibishwe. Bassi wakampokea Yesu:


yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, illi, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe bayi kwa mambo ya haki; kwa kuchubuka kwake mliponywa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo