Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Pilato akawaambia, Bassi, nimtendeni Yesu aitwae Kristo? Wakanena wote, Asulibiwe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Isa aitwaye Al-Masihi?” Wakajibu wote, “Msulubishe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Isa aitwaye Al-Masihi?” Wakajibu wote, “Msulubishe!”

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:22
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yakob akamzaa Yusuf mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwae Kristo.

Bassi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie nani? Barabba, au Yesu aitwae Kristo?

Lakini liwali akajibu, akawaambia, Mnataka niwafungulie nani katika hawo wawili? Wakasema, Barabba.

Liwali akasema, Kwani? ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakinena, Asulibiwe.

Makuhani wakuu na baraza wote wakatafuta ushuhuda juu ya Yesu wapate kumwua: wasione.

Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi (aitwae Kristo). Atakapokuja yeye, atatufunulia yote.

Na wasipopata sababu ya kumfisha wakamwomba Pilato auawe.

Bassi, ibainike kwenu, ndugu, ya kuwa kwa huyu mnakhubiriwa ondoleo la dhambi;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo