Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Lakini liwali akajibu, akawaambia, Mnataka niwafungulie nani katika hawo wawili? Wakasema, Barabba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Mkuu wa mkoa akawauliza, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka nimfungue?” Wakamjibu, “Baraba!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Mkuu wa mkoa akawauliza, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka nimfungue?” Wakamjibu, “Baraba!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Mkuu wa mkoa akawauliza, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka nimfungue?” Wakamjibu, “Baraba!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Mtawala akawauliza tena, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka niwafungulie?” Wakajibu, “Baraba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Mtawala akawauliza tena, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka niwafungulie?” Wakajibu, “Baraba.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:21
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie nani? Barabba, au Yesu aitwae Kristo?

Nao makuhani wakuu na wazee wakawashawishi makutano illi wamtake Barabba, na kumwangamiza Yesu.

Pilato akawaambia, Bassi, nimtendeni Yesu aitwae Kristo? Wakanena wote, Asulibiwe.

Lakini wale wakulima, walipomwona, wakafanya shauri wao kwa wao, wakinena, Huyu ndiye mrithi; na tumwue bassi, urithi upate kuwa wetu.

Pilato akawaita pamoja makuhani wakuu, na wakubwa, na watu, akawaambia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo