Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Nao makuhani wakuu na wazee wakawashawishi makutano illi wamtake Barabba, na kumwangamiza Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Lakini viongozi wa makuhani na wazee wakashawishi umati wa watu kwamba waombe Baraba afunguliwe, naye Isa auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Lakini viongozi wa makuhani na wazee wakaushawishi ule umati wa watu kwamba waombe Baraba afunguliwe, naye Isa auawe.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini liwali akajibu, akawaambia, Mnataka niwafungulie nani katika hawo wawili? Wakasema, Barabba.


Makuhani wakuu wakawataharakisha makutano, illi apende kuwafungulia Barabba.


Bassi wakapiga kelele marra ya pili, wote pia, wakinena, Si huyu, bali Barabba. Nae Barabba alikuwa mnyangʼanyi.


Akatoa hoja zake katika sunagogi killa sabato akawavuta Wayahudi na Wayunani waamini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo