Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa kuwa alitambua kwamba walikuwa wamemkabidhi Isa kwake kwa ajili ya wivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa kuwa alitambua Isa alikuwa amekabidhiwa kwake kwa ajili ya wivu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:18
13 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie nani? Barabba, au Yesu aitwae Kristo?


Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.


Kwa maana alifahamu ya kuwa makuhani wakuu wamemtoa kwa husuda.


Bali Wayahudi, walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayabisha maneno yaliyonenwa na Paolo, wakibisha na kutukana.


Akaondoka kuhani mkuu na wote waliokuwa pamoja nae (hao ndio walio wa madhehehu ya Masadukayo) wamejaa wivu,


Wale wazee wetu wakamwonea wivu Yusuf, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja nae,


Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema burre? Roho ikaayo ndani yetu hutamani kiasi cha kuona wivu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo