Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Nae hakumjibu hatta kwa neno moja, hatta liwali akataajabu sana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Lakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Lakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yesu akanyamaza. Kuhani mkuu akamjihu, akamwambia, Nakuapisha Mungu aliye hayi, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.

Aliposhitakiwa na makuhani wakuu na wazee, hakujibu hatta neno.

Ndipo Pilato akamwambia, Husikii mambo mangapi wanayokushuhudia?

Wala Yesu hakujibu neno tena, hatta Pilato akataajabu.

Akamwuliza kwa maneno mengi, yeye asimjibu lo lote.

akaingia tena Praitorio, akamwamhia Yesu, Umetoka wapi wewe? Lakini Yesu hakumpa jibu lo lote.

Maana nadhani ya ku wa Mungu ametutoa sisi mitume mwisho kama watu waliohukumiwa wauawe; kwa sababu tumekuwa tamasha kwa dunia na malaika na wana Adamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo