Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 27:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Ndipo Pilato akamwambia, Husikii mambo mangapi wanayokushuhudia?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kuhani mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudiani?

Aliposhitakiwa na makuhani wakuu na wazee, hakujibu hatta neno.

Nae hakumjibu hatta kwa neno moja, hatta liwali akataajabu sana.

Pilato akajibu, Je! mimi Myahudi? Taifa lako na makuhani wakuu ndio waliokuleta kwangu. Umefanya nini?

yule jemadari akaamuru aletwe ndani ya ngome, akisema aulizwe khabari zake kwa kupigwa, illi ajue sababu hatta wakampigia kelele namna hii.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo