Mathayo 26:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Wanafunzi wake walipoona, wakachukiwa, wakinena, Ya nini upotevu huu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini? Tazama sura |