Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:71 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

71 Alipotoka nje hatta ukumbini, mwanamke mwingine akamwona, akawaambia watu waliokuwa huko, Na huyu nae alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

71 Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

71 Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

71 Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

71 Alipotoka nje kufika kwenye lango, mjakazi mwingine alimwona, akawaambia watu waliokuwako, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Isa Al-Nasiri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

71 Alipotoka nje kufika kwenye lango, mtumishi mwingine wa kike alimwona, akawaambia watu waliokuwepo, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Isa, Mnasiri.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:71
6 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.

Akakana mbele ya wote, akinena, Sijui unenalo.

Akakana tena kwa kiapo, Simjui mtu huyu.

Na punde baadae mwingine akamwona, akasema, Na wewe u mmoja wao. Petro akasema, Ewe mtu, sio mimi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo