Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 mwanamke mwenye chombo cha alabastro cha marhamu ya thamani kubwa alimkaribia, akaimimina kichwani pake alipoketi akila.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya thamani kubwa, alimjia pale mezani alipokuwa amekaa kula chakula, akammiminia hayo marashi kichwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Naye mwanamke mmoja akamjia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya thamani kubwa. Akayamimina kichwani mwa Isa alipokuwa ameketi mezani kula chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 naye mwanamke mmoja akamjia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya thamani kubwa; akayamimina kichwani mwa Isa alipokuwa ameketi mezani kula chakula.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:7
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake walipoona, wakachukiwa, wakinena, Ya nini upotevu huu?

Nae akiwapo Bethania, nyumbani mwa Simon mwenye ukoma, ameketi chakulani, akaja mwanamke mwenye kibweta cha alabastro cha marhamu ya hali udi, safi, ya thamani nyingi; akakivunja kibweta cha alabastro akaimimina kichwani pake.

Hukunipaka kichwa changu mafuta: bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo