Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:69 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

69 Na Petro alikuwa ameketi nje behewani: kijakazi kimoja akamwendea, akanena, Wewe nawe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

69 Petro alikuwa ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea, akasema, “Wewe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

69 Petro alikuwa ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea, akasema, “Wewe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

69 Petro alikuwa ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea, akasema, “Wewe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

69 Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mjakazi mmoja akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Isa wa Galilaya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

69 Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Isa wa Galilaya.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:69
18 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.


Ndipo makubani wakuu, na waandishi, na wazee wa watu wakakusanyika katika behewa ya kuhani mkuu aliyeitwa Kayafa;


Na Petro akamfuata kwa mbali hatta behewa ya kuhani mkuu, akaingia ndani, akaketi pamoja na watumishi, auone mwisho.


Akakana mbele ya wote, akinena, Sijui unenalo.


Alipotoka nje hatta ukumbini, mwanamke mwingine akamwona, akawaambia watu waliokuwa huko, Na huyu nae alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.


Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.


Wengine walinena, Je! Kristo atoka Galilaya?


Wakajibu, wakamwambia, Wewe nawe umetoka Galilaya? Tafuta, ukaone ya kuwa kutoka Galilaya hakutokea nabii.


Baada ya mtu huyo aliondoka Yuda Mgalilaya, siku zile za kuandikiwa kodi, akawavuta watu kadha wa kadha nyuma yake, nae akapotea na wote waliomsadiki wakatawanyika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo