Mathayo 26:67 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192167 Ndipo wakamtemea mate va uso, wakampiga konde; wengine wakampiga makofi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wengine wakiwa wanampiga makofi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wengine wakiwa wanampiga makofi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wengine wakiwa wanampiga makofi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu67 Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu67 Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi Tazama sura |