Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:66 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

66 mwaonaje? Wakajibu, wakasema, Ana sharti ya kufa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

66 Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

66 Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

66 Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

66 Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

66 Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:66
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wayahudi wakamjibu, Sisi tuna sharia, na kwa sharia hiyo amepasiwa kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.


Ni yupi katika manabii ambae baba zenu hawakumwudhi? nao waliwaua wale waliotabiri khabari za kuja kwake yule mwenye haki; ambae ninyi sasa mmemsaliti mkamwua;


Mmemhukumu mwenye haki mkamwua: nae hashindani nanyi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo