Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:65 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

65 Marra kuhani mkuu akararua mavazi yake, akisema, Amekufuru: tuna haja gani ya mashahidi wengine? Sasa mmesikia kufuru yake:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

65 Hapo, kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi? Sasa mmesikia kufuru yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

65 Hapo, kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi? Sasa mmesikia kufuru yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

65 Hapo, kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi? Sasa mmesikia kufuru yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

65 Ndipo kuhani mkuu akararua mavazi yake na kusema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama, sasa ninyi mmesikia alivyokufuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

65 Ndipo kuhani mkuu akararua mavazi yake na kusema, “Amekufuru! Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama, sasa ninyi mmesikia hayo makufuru.

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:65
12 Marejeleo ya Msalaba  

Baadhi ya waandishi wakasema nafsini mwao, Huyu anakufuru.


Wale waandishi na Mafarisayo wakaanza kutafakari wakanena, Nani huyu anaesema kufuru? Nani awezae kuondoa dhambi, isipokuwa mmoja ndiye Mungu?


Wayahudi wakamjibu wakinena, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi mawe, bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe, uliye mwana Adamu, wajifanya nafsi yako u Mungu.


je! yeye ambae Baba alimtakasa akamtuma ulimwenguni, ninyi mwamwambia, Unakufuru, kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?


Walakini mitume Barnaba na Paolo, walipopata khabari, wakararua nguo zao, wakaenda mbio wakaingia katika makutano, wakipiga kelele, wakisema, Akina hwana, mbona mnafanya haya?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo