Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:62 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

62 Kuhani mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudiani?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

62 Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

62 Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

62 Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

62 Kisha kuhani mkuu akasimama na kumwambia Isa, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi gani hawa watu wanauleta dhidi yako?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

62 Kisha kuhani mkuu akasimama na kumwambia Isa, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi gani hawa watu wanauleta dhidi yako?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:62
7 Marejeleo ya Msalaba  

Baadae mashahidi wa uwongo wawili wakatokea wakasema, Huyu alisema, Naweza kulivunja hekalu ya Mungu, na kuijenga kwa siku tatu.

Lakini Yesu akanyamaza. Kuhani mkuu akamjihu, akamwambia, Nakuapisha Mungu aliye hayi, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.

Kuhani mkuu akasimama kati kati, akamwuliza Yesu, akisema, Hujibu neno? Hawa wakushuhudiani?

Akamwuliza kwa maneno mengi, yeye asimjibu lo lote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo