Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

59 Makuhani wakuu na baraza yote wakatafuta ushuhuda wa nwongo juu ya Yesu, wapate kumwua;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

59 Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Isa ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

59 Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Isa ili wapate kumuua.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:59
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bali mimi nawaambiem, Killa amwoneae ndugu yake ghadhabu bila sababu, itampasa hukumu; na mtu akimwambia ndugu yake, Haka, itampasa baraza; na mtu akinena, Mpumbavu, itampasa jebannum ya moto.

Bassi kuhani mkuu akamwuliza Yesu khabari za wanafunzi wake, na khabari za mafundisho yake.

Ya nini kumuliza? waulize wale waliosikia, ni nini niliyosema nao: wao wanajua niliyowaambia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo