Mathayo 26:52 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192152 Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake: maana wote washikao upanga, wataangamia kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Ndipo Isa akamwambia, “Rudisha upanga wako alani mwake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Ndipo Isa akamwambia, “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga. Tazama sura |