Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 Mmoja wao waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono wake, akaufuta upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Ghafula mmoja wa wale waliokuwa na Isa alipoona hivyo, akaushika upanga wake, akauchomoa na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Ghafula mmoja wa wale waliokuwa na Isa alipoona hivyo, akaushika upanga wake, akauchomoa na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:51
8 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana. Na wanafuuzi wote wakasema vivi hivi.

Na mmoja wao waliohudhuria akavuta upanga, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Akageuka, akawakaripia, akasema, Hamjui ni moyo wa namna gani mlio nao.

Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu, kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu: watumishi wangu wangalinipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi: lakini sasa ufalme wangu sio wa hapa.

maana silaha za vita yetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu kuangusha ngome;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo