Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

49 Marra akamwendea Yesu, akasema, Salam, Rabbi, akambusu sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Mara Yuda akamjia Isa na kumsalimu, “Salamu, Mwalimu!” Akambusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Mara Yuda akamjia Isa na kumsalimu, “Salamu, Mwalimu!” Akambusu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:49
15 Marejeleo ya Msalaba  

na kusalimiwa sokoni, na kuitwa na watu, Rabbi, Rabbi.


Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.


Yuda, yule mwenye kumsaliti, akajibu, akasema, Ni mimi, Rabbi? Akamwambia, Wewe umesema.


Na yeye anaemsaliti amewapa ishara, akinena, Nitakaembusu, ndiye; mkamateni.


wakaanza kumsalimu, Salamu Mfalme wa Wayahudi!


Hukunibusu: bali huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu.


wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! wakimpiga makofi.


Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabbi, ule.


Wasalimuni ndugu kwa husu takatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo