Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Kisha akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! hamkuweza kukesha pamoja nami hatta saa moja?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:40
12 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala.

Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana. Na wanafuuzi wote wakasema vivi hivi.

Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkakeshe pamoja nami.

Kesheni, kaombeni, msije mkaingia majaribuni: Roho ina nia njema, bali mwili ni dhaifu.

Akaenda, akawakuta wamelala tena; maana macho yao yalikuwa mazito.

Akaenda akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Simon, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?

Alipoondoka katika kuomba, akawajia wanafunzi wake, akawakuta wamelala kwa huzuni, akawaambia,

Petro, nao waliokuwa pamoja nae, walikuwa wamelemewa sana na usingizi: lakini walipokwisha kuamka wakauona utukufu wake, na wale watu wawili, waliosimama pamoja nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo