Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 wakafanya shauri pamoja, illi wamkamate Yesu kwa hila na kumwua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wakapanga kumkamata Isa kwa siri na kumuua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wakafanya shauri ili kumkamata Isa kwa siri na kumuua.

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mafarisayo wakatoka wakamfanyia shauri la kumwangamiza.


Enyi nyoka, mazao wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya jehannum?


BAADA ya siku mbili ilikuwa siku kuu ya Pasaka, na mikate isiyochachwa: makuhani wakuu na waandishi wakatafuta njia ya kumkamata kwa hila na kumwua.


Bassi tangu siku ile walifanya shauri wapate kumwua.


Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa shetani, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka?


Huyo akawafanyia hila baba zetu, na kuwatenda mabaya baba zetu, akiwaamuru watupe watoto wao wachanga, illi wasiishi.


Lakini naogopa; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikara zenu, mkauacha unyofu wenu kwa Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo