Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kabisa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Petro akamwambia Yesu, “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakuacha kamwe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:33
15 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitatangulia mbele yenu kwenda Galilaya.

Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana marra tatu.

Petro akamwambia, Wajapochukizwa wote, lakini sio mimi.

Akamwambia, Bwana, pamoja nawe mimi ni tayari kwenda gerezani na kufa.

Bassi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simon Petro, Simon wa Yohana, wanipenda kuliko bawa? Akamwambia, Naam, Bwana; wewe wajua ya kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana kondoo wangu.

Kwa pendo la udugu, mwe na shauku ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;

Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo