Mathayo 26:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama sura |