Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akinena, Nyweeni nyote hiki;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Kisha akatwaa kikombe cha divai, akashukuru, akawapa akisema, “Kunyweni nyote;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Kisha akatwaa kikombe cha divai, akashukuru, akawapa akisema, “Kunyweni nyote;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Kisha akatwaa kikombe cha divai, akashukuru, akawapa akisema, “Kunyweni nyote;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika kikombe hiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika kikombe hiki.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:27
12 Marejeleo ya Msalaba  

akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akashukuru, akavimega, akawapa wanafunzi wake, nao wanafunzi wakawapa makutano.

Walipokuwa wakila, Yesu akatwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ni mwili wangu.

maana hii ni damu yangu ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.

Nacho kikombe vivyo hivyo baada ya kula, akinena, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.

Kikombe kile cha baraka tukibarikicho, je! si ushirika wa damu ya Kristo? Mkate ule timmegao, si ushirika wa mwili wti Kristo?

Lakini mtu ajihoji nafsi yake, ndivyo aule mkate, na kukinywea kikombe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo