Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 26:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Akajibu, akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika sahani, ndiye atakaenisaliti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Isa akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Isa akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakahuzunika sana, wakaanza kumwambia mmoja mmoja, Ni mimi, Bwana?

Illa angalieni, mkono wake anisalitiye u pamoja nami mezani.

Sisemi khabari za ninyi nyote: nawajua niliowachagua; lakini andiko lipate kutimizwa, Aulae mkate pamoja nami ameinua kisigino chake juu yangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo