Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 26:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Walipokuwa wakila, akasema, Amin, nawaambieni, Mmoja wenu atanisaliti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Walipokuwa wakila, Yesu akasema, “Nawaambieni kweli, mmoja wenu atanisaliti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Walipokuwa wakila, Yesu akasema, “Nawaambieni kweli, mmoja wenu atanisaliti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Walipokuwa wakila, Yesu akasema, “Nawaambieni kweli, mmoja wenu atanisaliti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Nao walipokuwa wakila, Isa akasema, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Nao walipokuwa wakila, Isa akasema, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 26:21
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mwajua ya kuwa baada ya siku mbili itakuwa pasaka, na Mwana wa Adamu atasalitiwa apate kusulibiwa.


Wakahuzunika sana, wakaanza kumwambia mmoja mmoja, Ni mimi, Bwana?


Sisemi khabari za ninyi nyote: nawajua niliowachagua; lakini andiko lipate kutimizwa, Aulae mkate pamoja nami ameinua kisigino chake juu yangu.


Alipokwisha kusema haya, Yesu akafadhaika rohoni, akashuhudu, akinena, Amin, amin, nawaambieni, Mmoja wenu atanisaliti.


Wanafunzi wakatazamana, wakiona mashaka, ni nani anaemtaja,


Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.


nami nitawaua watoto wake kwa manti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzae viuno na mioyo. Nami nitampa killa mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo